Nifanye nini ikiwa haki zangu zimekiukwa?

  • Ripoti ukiukwaji kwenye kituo cha afya.
  • Kama huna uhuru wa kuripoti, wajulishe asasi za kiraia ili zikusaidie kutetea haki zako.
  • Tafuta huduma katika vituo rafiki zaidi kwa wanaume wanaojamiiana na wanaume.