Jambo bora kwa afya na ustawi wako ni kuacha kabisa matumizi ya vilevi, lakini hili linaweza kuwa gumu. Hata kama huwezi kuacha mara moja, kuna hatua za kupunguza hatari.
- Jifunze kutambua utegemezi wa madawa.
- Ukiwa unajidunga, tumia vifaa safi na usichangie sindano.
- Tafuta njia za kinga ya VVU zinazokufaa.