
Nifanye nini ikiwa haki zangu zimekiukwa?
- Ripoti ukiukwaji kwenye kituo cha afya.
- Kama huna uhuru wa kuripoti, wajulishe asasi za kiraia ili zikusaidie kutetea haki zako.
- Tafuta huduma katika vituo rafiki zaidi kwa wanaume wanaojamiiana na wanaume.
Haki zako
Nini cha kufanya ikiwa haki zako zimekiukwa.
