
Maambukizi ya magonjwa ya ngono yanaweza kuathiri maisha yetu ya ngono na afya zetu. Yasipotibiwa, baadhi yake yanaweza kusababisha madhara ya muda mrefu.
Magonjwa ya zinaa ya kawaida
- Kaswende
- Kisonono na klamidia
- Herpes
- Viotea vinavyosababishwa na HPV
- Homa ya ini A, B na C