Matumizi ya vilevi yanaweza kuathiri jinsi tunavyofanya maamuzi kuhusu ngono, usalama na afya. Ukiwa unatumia vilevi, kupanga mapema kunaweza kusaidia kupunguza madhara.
Madawa
Jinsi matumizi ya vilevi yanavyoweza kuathiri afya na maamuzi.