Maambukizi ya magonjwa ya ngono yanaweza kuathiri maisha yetu ya ngono na afya zetu. Yasipotibiwa, baadhi yake yanaweza kusababisha madhara ya muda mrefu.

Magonjwa ya zinaa ya kawaida

  • Kaswende
  • Kisonono na klamidia
  • Herpes
  • Viotea vinavyosababishwa na HPV
  • Homa ya ini A, B na C